Habari za mchana wakuu. Samahani kila ninapo install Microsoft office 2007 kwenye kompyuta yangu naletewa huu ujumbe " Microsoft setup bootstrapper has stopped working".
View attachment 3101066Nimejaribu kubadili setup zaidi ya mara tano bado shida Iko palpable.
Leo nimeamua kupiga window upya lakini bado hii shida haijaisha.
Naomba msaada wa Nini nifanye wakuu maana hii kompyuta ni ya ofisini (stationery)
Asante.