Msaada: Wakuu msaada wa lift ya kwenda Dodoma Jumatatu

Alaf hii idea ya jamaa nmeipenda. Humu ndani kuna madereva kibao lakn hua tunashindwa kutumia fursa na kuongeza undugu. Mimi every 2 weeks nadandia malori kwenda dom from mkoani, na kuna visanga kibao. I think ni wakat muafaka wa kutumia hizi connection na kujuana na watu wengi.
Kila la heri mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…