Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,379
- 1,069
Mie nilitumia Aliexpress tangu 27/05/2020 hadi leo kimya nikijaribu Ku track naambiwa mzigo umesha ruka na ndege tangu 30/05/2020 sasa sijui hii ndege ina speed gani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nilitumia Aliexpress tangu 27/05/2020 hadi leo kimya nikijaribu Ku track naambiwa mzigo umesha ruka na ndege tangu 30/05/2020 sasa sijui hii ndege ina speed gani!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu mna majibu aiseeLabda inakuja kwa rivasi
0694 056 529 mcheki huyu jamaa yupo huko huko dar anaagizia watuSamahani kwa kuvamia Uzi wako Ila mi nauliza nikiagiza mashine Kama hii ya kukatia majani huko Ali baba inaweza kunifikia hapa dar kwa Bei gani ?View attachment 1786940
Shukran,kwa hiyo shida yako imeshatatuliwa ?0694 056 529 mcheki huyu jamaa yupo huko huko dar anaagizia watu
Shukran,kwa hiyo shida yako imeshatatuliwa ?
Sahihi, Watakutumia, Kikubwa mawasliano na wahusika na mfikie makubaliano ya gharama unazopaswa kulipia.sample yaweza kutumika kwa mfano kama simu
Mwl sasa inakuaje uki-refundiwa na pesa huikuti bank.Sahihi, Watakutumia, Kikubwa mawasliano na wahusika na mfikie makubaliano ya gharama unazopaswa kulipia.
Kumbuka sample hutumwa kwa njia ya express. Ghalama huwa kubwa.
Namna ya kufanya.namna yeyote ya kufanya upate pesa yako?
TusaidieNamna ya kufanya.
---
- Haikisha angalau siku 14 zimepita.
- Wasiliana na benki husika.
- Wape ushahidi wa muamala husika, Tarehe fedha imetoka( umefanya manunuzi), na waeleze hiyo fedha imerudishwa Tayari na wao manually wataangalia kwenye system yao.
Tatizo kama hili ndio linatupeleka kwenye kipengele cha uchaguzi wa benki sahihi na kadi sahihi ya kufanyia manunuzi mtandaoni, Hii ni mada nyingine.
Namna ya kufanya.

[/QU
@Mwl.RCT hivi hawa DH gate wako china pia au?
Mwl.RCT hivi hawa DHGate wako china pia?Namna ya kufanya.
---
- Haikisha angalau siku 14 zimepita.
- Wasiliana na benki husika.
- Wape ushahidi wa muamala husika, Tarehe fedha imetoka( umefanya manunuzi), na waeleze hiyo fedha imerudishwa Tayari na wao manually wataangalia kwenye system yao.
Tatizo kama hili ndio linatupeleka kwenye kipengele cha uchaguzi wa benki sahihi na kadi sahihi ya kufanyia manunuzi mtandaoni, Hii ni mada nyingine.
Unaweza kutupa list ya bank sahihi mkuu...Namna ya kufanya.