Msaada wakuu namna gani Alibaba wanaship product kwa mteja

Mie nilitumia Aliexpress tangu 27/05/2020 hadi leo kimya nikijaribu Ku track naambiwa mzigo umesha ruka na ndege tangu 30/05/2020 sasa sijui hii ndege ina speed gani!
 
Wakuu, mwenye namba ya simu ofisi ya alibaba dar, anipatie.
 
Samahani kwa kuvamia Uzi wako Ila mi nauliza nikiagiza mashine Kama hii ya kukatia majani huko Ali baba inaweza kunifikia hapa dar kwa Bei gani ?
 
sasa hiyo sample yaweza kutumika kwa mfano kama simu
 
sample yaweza kutumika kwa mfano kama simu
Sahihi, Watakutumia, Kikubwa mawasliano na wahusika na mfikie makubaliano ya gharama unazopaswa kulipia.

Kumbuka sample hutumwa kwa njia ya express. Ghalama huwa kubwa.
 
Sahihi, Watakutumia, Kikubwa mawasliano na wahusika na mfikie makubaliano ya gharama unazopaswa kulipia.

Kumbuka sample hutumwa kwa njia ya express. Ghalama huwa kubwa.
Mwl sasa inakuaje uki-refundiwa na pesa huikuti bank.
Hakuna namna yeyote ya kufanya upate pesa yako?
 
naomba muangalie hii bei ya simu na maelewanobyetu yako hapo chini
 
namna yeyote ya kufanya upate pesa yako?
Namna ya kufanya.
  • Haikisha angalau siku 14 zimepita.
  • Wasiliana na benki husika.
  • Wape ushahidi wa muamala husika, Tarehe fedha imetoka( umefanya manunuzi), na waeleze hiyo fedha imerudishwa Tayari na wao manually wataangalia kwenye system yao.
---
Tatizo kama hili ndio linatupeleka kwenye kipengele cha uchaguzi wa benki sahihi na kadi sahihi ya kufanyia manunuzi mtandaoni, Hii ni mada nyingine.
 
Tusaidie
 
 
Mwl.RCT hivi hawa DHGate wako china pia?
 
Unaweza kutupa list ya bank sahihi mkuu...

Nilijiunga na paypal walikata dolla 2, masaa 72 yalikata na haikurudishwa,hapo ikapita red flag je kama ni ndogo wamesema watarudisha na sijapata notification ya kurudi je kubwa itakuaje...
Nina NMB wallet...
Na Absa visa card..hizi nikifatilia naweza rejeshewa pesa yangu kama ime-refundiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…