Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 367
Nahitaji sehemu ya kufungua restaulant
ya kwaida yenye kuhudumia watu 10 mpaka 15
vyakula vya uhakika ni wali ugali,pilau, biliani
supu chai na vyakula kwa oda, ni maeneo gani
mazuri kwa hapa dar na flem nahitaji isiyo zidi
50,000/= kwa mwezi. 0714 045 080. serious wakuu.