Sifa zake:
- Nataka isiwe ndefu sana.
- Main character wasiwe wengi sana
- Then hiyo action series ikiwa na drama ndani yaye itakua poa zaidi.
Wale wakongwe wa kuangalia hizi vitu naomba nishushieni ka jina hapo, ili nianze kuangaika nayo hiyo series.