Msaada wakuu nataka kupakua action series moja ya Hollywood

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Sifa zake:
- Nataka isiwe ndefu sana.
- Main character wasiwe wengi sana
- Then hiyo action series ikiwa na drama ndani yaye itakua poa zaidi.

Wale wakongwe wa kuangalia hizi vitu naomba nishushieni ka jina hapo, ili nianze kuangaika nayo hiyo series.
 
Back
Top Bottom