Msaada wakuu, nimekamata SMS za mke wangu akichati na kijana mdogo mambo ya ajabu

Mkuu ninachoweza kukwambia nyoka afugwi
 
Oyooooóoooooooooooooooo walete katiiiiii .

Yaani mpk usemee ,ila una moyo Mzee baba wakuvumilia ujingaa sana na maovuu..

Yaani mm ningeshampa dogo mke kitambo sana nilivyokuta tu hzo sms ucku huo ,,ety ww unaenda Lia seblen 😅😅😅 mwanaume kulia Lia Kwa vtu vdg km hvyo n ishara ujakomaa ..

Fukuza mfirijwa huyo ndan ...
 
Muonyeshe mwenzio kwamba unajua, mpe onyo halaf usiongee nae tena. Mean while monitor tabia zake, asipobadilikw fungasha mabegi rudisha kwao
 
Muonyeshe mwenzio kwamba unajua, mpe onyo halaf usiongee nae tena. Mean while monitor tabia zake, asipobadilikw fungasha mabegi rudisha kwao
Mkuu uasherati pekee unatosha kuvunja ndoa...

Sasa huyu mwanamke ametafunwa kisamvu kabisa!

Bado unataka mwanetu aendelee kumchunguza?

Mimi namshauri amtimue kama mbwa kabisa, hana adabu huyo mwanamke...
 
Pole sana mkuu sana sana tena wanawake ni washenzi sana cha kufanya kaprint huo mkeka kama ushahidi asije kukukataa baadae na kubwa kuliko na muhimu sana AONDOKE HARAKA SANA AENDE KWAO UTAUA BURE.
 
Maana yake dogo katomb. Aaaaaah weee mpaka kaanza kula uharo na mke alivyo mshenzi anamwambia hii nakula wewe tu yule fala harambi hii , wallah unaweza kuua alafu polisi wakaja simple tu wivu wa kimapenzi kumbeee ni mazito mazito dharau kubwa sana hii
 
Inaonekana bado unakua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…