Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Sawa..jikite kwenye hoja bas kumsaidia jamaa mawazo21 kwa 30 humzai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa..jikite kwenye hoja bas kumsaidia jamaa mawazo21 kwa 30 humzai
Kaka hapo huna mke.Mimi ni mtu mzima miaka 30 nina mke wa miaka 25 nina watoto 2 katika ndoa ya miaka 6 mpaka sasa.
Ndugu zanguni nina hasira nina hasira nina hasira sana Mungu tu anisimamie nisingie dhambini.
Kwa kifupi siku za hivi karibuni kama miezi 5 iliyopita nilianza kuona manadiliko kwa mama watoto ila sikutilia maaanani kwasababu mm ni mtu mzima nina mengi ya kufanya siwezi kukaa kumfuatilia mwanamke muda wote yeye ni mtu mzima atajisimamia.
Yaani baada ya kuona hayo mabadiliko ndani ya miezi kadhaa. Kuna siku nilikuwa nyumbani sikwenda kazini, kama mida ya saa tatu asubuhi hivi kuna mtu nilikuwa natakuwasiliana nae ila dakika zangu ziliisha nikamwambia wife naomba hiyo simu yako nimpigie mtu mara moja akanipa.
Nikiwa na ile simu mkononi SMS iliingia namba ngeni lkn message iliyotumwa ilinistua kidogo nilipofungua ili niona kilichokuwa kinaendelea sikuona SMS zingine.nikamuuliza wife hii SMS inahusu nini na ninani huyu,alistuka ila akajikosha kwa kusema vijana wengine hawana adabu ngoja nimpigie mm staki ushenzi
Basi akapiga simu, ile inapokelewa tu hakusubiri hata huyo mtu azungumze alianza matusi WW KIJANA SMS GANI HIZI UNANITUMIA HUJUI MM NI MKE WA MTU NAOMBA TUHESHIMIANE NA UNIKOME KABISA SITAKI MAZOEA TENA UJISHIKILIE akakata simu.
Kama mtu mzima niligundua hawa watu walikuwa wanatongozana saiv anajikosha ila nikapotezea kwasabb mwanamke kutongozwa ni jambo la kawaida, nilichukuwa simu nikampigia niliyekuwa natakumpigia then nikamrudishia Simu yake.
Kaka siku zimeenda kufika usiku wa juzi mida ya saa Saba usiku SMS ikaingia kwa simu ya mke wangu nikastuka ile nageuka wife anazima mwanga wa simu afu anajifanya amesinzia ile nashika simu nakuta amekumbatia simu, nikamwambia naomba hiyo simu ananiuliza simu ya nn usiku huu baba fulani..nikachukuwa simu kwa nguvu
MKUSHI MKUSHI MKUSHI 😓😓sijui mwanamke alijua nimesinzia siwezi kustuka akawa anachati na mtu yuleyule wa kipindi cha nyuma tena pembeni yangu saa saba usiku.
Baadhi ya SMS zao ni kama hizi...
MWANAMUME: Mbona ulikuwaga unaogopa?
MKE WANGU: Weee kipindi kile nilikuwa naogopa kufanya nyuma😀
MWANAMUME: 😀😀😀Muone kwahiyo siku hizi umezoea?
MKE WANGU: Tena siku hizi usiponifanya nyuma sijiskii kama umani..😋
MWANAMUME: Angalia usije ukajisahau ukampa baba watoto
MKE WANGU: Subutuu halambi kitu hapa hii yako pekee 😀
Kaka mada ilikuwa ndefu niishie hapo (kumbuka hii simu anayotumia kunifanyia hivi mimi ndo nilimnunulia laki 6 na 80😓
Nilichoka nilitoka sebleni nililia kama mtoto kesho yake ambayo ni jana sikwenda kazin na tangu hiyo juzi sikurudisha Simu kwa wife
Nilichati na kijana kwa simu ya wife nikamwambia tukutane, bro sikuamini macho yangu, nilienda kukutana na kitoto kidogo cha miaka kama 20, 21 hivi jirani yetu ambaye anakusanya pesa kibanda umiza tunapoangalia mpira.
Kaka kwanza amenisaliti, siyo kunisaliti tu kanisaliti kwa katoto nachoweza kukazaa, basi aliamua kunisaliti kwa kitoto si bora basi wangefanya tu kawaida, amefikia kuleta laana kwa kizazi changu ,siyo laana tu ameamua kunidedhehesha mtaani.
Bro kwahiyo juzi simba day nipo banda umiza yule dogo anakusanya hela kwangu ila kimoyomoyo ananing'onga tu.
Wakati nakutana na dogo nilikuwa na sime nilimwambia simama sehemu nakukuta kweli nilienda nikamkuta ila nilisimama pembeni kidgo kisha nikapita bila kuongea nae nilitamani nimfanye kitu kibaya kuna sauti ikanambia una watoto wanakutegemea ondoka nenda
Bro mpaka dakika hii kitu pekee nilichomwambia wife ni kwamba siangaiki kukuuliza huyu ni nani make utanidanganya ila ole wako umtafte umwambie kwamba nina simu yako kwahiyo mpk leo sijaongea na rafiki sijaongea na ndugu wala huyo dogo hajajua kama nimejua kwasabb bado anaendlea kuchati ila hajui anachati na mm akijua ni wife.
Naomba unisaidie wazo nifanye maamzi gani ambayo ni sahihi.
Sio lazima wote tumuaminiIsome tena uelewe naona watu wengi wamepata shida hapo alimaanisha kwamba kabla hajafahamu alifika kwenye banda dogo anamchora tu ni kama kumbukizi baada ya kugundua mkewe analiwa usamvu
Mlianza ninyi wao wamekuwa vichaa sasaInawezekana kuna connection kati ya shetani na mwanamke.
Hujaelewa, ali reffer back kabla hajagundua kinachoendelea ilikua ninsimba day na alikwenda kuangalia ball hapoMwishoni imekaa kimchongo kapata na nguvu za kwenda kuangalia mpira kwenye kibanda kinachosimamiwa na mume mwenzie!!! Pole yangu hapati
Mpe wewe hayo mawazoSawa..jikite kwenye hoja bas kumsaidia jamaa mawazo
Mimi kiukwel nampa pole tu, amuache aende aangalie maisha mengineMpe wewe hayo mawazo
WatajijuaMimi kiukwel nampa pole tu, amuache aende aangalie maisha mengine
Huwa sijawah kuelewa, inakuaje mtu anapata nguvu ya kuandika mambonya uongo???Kwa mara ya kwanza leo naandika neno CHAI
watu sio wavivu,mnawezaje kuandika haya yote ya kutunga
Hajasema umuamini, kasema elewaSio lazima wote tumuamini
Eeeh hebu nitueni mie sio mkewe budaaaHajasema umuamini, kasema elewa
Pole sana Mkuu, hilo ni jambo kubwa sana, kiasi kwamba hata sijui nitoe ushauri gani. Kilichotokea kwenye ndoa yako kimenikwaza kwelikweli. Sijui una mke wa aina gani! Ah!Mimi ni mtu mzima miaka 30 nina mke wa miaka 25 nina watoto 2 katika ndoa ya miaka 6 mpaka sasa.
Ndugu zanguni nina hasira nina hasira nina hasira sana Mungu tu anisimamie nisingie dhambini.
Kwa kifupi siku za hivi karibuni kama miezi 5 iliyopita nilianza kuona manadiliko kwa mama watoto ila sikutilia maaanani kwasababu mm ni mtu mzima nina mengi ya kufanya siwezi kukaa kumfuatilia mwanamke muda wote yeye ni mtu mzima atajisimamia.
Yaani baada ya kuona hayo mabadiliko ndani ya miezi kadhaa. Kuna siku nilikuwa nyumbani sikwenda kazini, kama mida ya saa tatu asubuhi hivi kuna mtu nilikuwa natakuwasiliana nae ila dakika zangu ziliisha nikamwambia wife naomba hiyo simu yako nimpigie mtu mara moja akanipa.
Nikiwa na ile simu mkononi SMS iliingia namba ngeni lkn message iliyotumwa ilinistua kidogo nilipofungua ili niona kilichokuwa kinaendelea sikuona SMS zingine.nikamuuliza wife hii SMS inahusu nini na ninani huyu,alistuka ila akajikosha kwa kusema vijana wengine hawana adabu ngoja nimpigie mm staki ushenzi
Basi akapiga simu, ile inapokelewa tu hakusubiri hata huyo mtu azungumze alianza matusi WW KIJANA SMS GANI HIZI UNANITUMIA HUJUI MM NI MKE WA MTU NAOMBA TUHESHIMIANE NA UNIKOME KABISA SITAKI MAZOEA TENA UJISHIKILIE akakata simu.
Kama mtu mzima niligundua hawa watu walikuwa wanatongozana saiv anajikosha ila nikapotezea kwasabb mwanamke kutongozwa ni jambo la kawaida, nilichukuwa simu nikampigia niliyekuwa natakumpigia then nikamrudishia Simu yake.
Kaka siku zimeenda kufika usiku wa juzi mida ya saa Saba usiku SMS ikaingia kwa simu ya mke wangu nikastuka ile nageuka wife anazima mwanga wa simu afu anajifanya amesinzia ile nashika simu nakuta amekumbatia simu, nikamwambia naomba hiyo simu ananiuliza simu ya nn usiku huu baba fulani..nikachukuwa simu kwa nguvu
MKUSHI MKUSHI MKUSHI 😓😓sijui mwanamke alijua nimesinzia siwezi kustuka akawa anachati na mtu yuleyule wa kipindi cha nyuma tena pembeni yangu saa saba usiku.
Baadhi ya SMS zao ni kama hizi...
MWANAMUME: Mbona ulikuwaga unaogopa?
MKE WANGU: Weee kipindi kile nilikuwa naogopa kufanya nyuma😀
MWANAMUME: 😀😀😀Muone kwahiyo siku hizi umezoea?
MKE WANGU: Tena siku hizi usiponifanya nyuma sijiskii kama umani..😋
MWANAMUME: Angalia usije ukajisahau ukampa baba watoto
MKE WANGU: Subutuu halambi kitu hapa hii yako pekee 😀
Kaka mada ilikuwa ndefu niishie hapo (kumbuka hii simu anayotumia kunifanyia hivi mimi ndo nilimnunulia laki 6 na 80😓
Nilichoka nilitoka sebleni nililia kama mtoto kesho yake ambayo ni jana sikwenda kazin na tangu hiyo juzi sikurudisha Simu kwa wife
Nilichati na kijana kwa simu ya wife nikamwambia tukutane, bro sikuamini macho yangu, nilienda kukutana na kitoto kidogo cha miaka kama 20, 21 hivi jirani yetu ambaye anakusanya pesa kibanda umiza tunapoangalia mpira.
Kaka kwanza amenisaliti, siyo kunisaliti tu kanisaliti kwa katoto nachoweza kukazaa, basi aliamua kunisaliti kwa kitoto si bora basi wangefanya tu kawaida, amefikia kuleta laana kwa kizazi changu ,siyo laana tu ameamua kunidedhehesha mtaani.
Bro kwahiyo juzi simba day nipo banda umiza yule dogo anakusanya hela kwangu ila kimoyomoyo ananing'onga tu.
Wakati nakutana na dogo nilikuwa na sime nilimwambia simama sehemu nakukuta kweli nilienda nikamkuta ila nilisimama pembeni kidgo kisha nikapita bila kuongea nae nilitamani nimfanye kitu kibaya kuna sauti ikanambia una watoto wanakutegemea ondoka nenda
Bro mpaka dakika hii kitu pekee nilichomwambia wife ni kwamba siangaiki kukuuliza huyu ni nani make utanidanganya ila ole wako umtafte umwambie kwamba nina simu yako kwahiyo mpk leo sijaongea na rafiki sijaongea na ndugu wala huyo dogo hajajua kama nimejua kwasabb bado anaendlea kuchati ila hajui anachati na mm akijua ni wife.
Naomba unisaidie wazo nifanye maamzi gani ambayo ni sahihi.
Huyo kijana mfumua rinda ni mpemba.Chai.
😂 tena alie ukweni kwanini yeye hapewiKuliko uje ufie Segerea, chukua hizo msg muonyeshe mama mkwe Kisha mkabizi mtoto wao.
Mwanamke anakusongea ugali wakati geti la nyuma liko wazi. Huoni kinyaa?
CHAI ina Tangawizi kali watu tunatokwa tu machozi na kamasi😂Kwa mara ya kwanza leo naandika neno CHAI
watu sio wavivu,mnawezaje kuandika haya yote ya kutunga
😂 jipatie nakala yakoSULTAN TAMBA