Msaada wakuu, nimekamata SMS za mke wangu akichati na kijana mdogo mambo ya ajabu

Nonsense,ukikua utaacha
 
KAMA ULIMKUTA SIO BIKRA HUYO NI SHANGINGI
 
Broo hapo mi naona ufanye hivi;
1st tunza hizo sms kama ushahidi kweny simu yako, either screenshot au screen record.
2nd Fanya harakati za talaka uachane na huyo shetani, sababu ya talaka weka usaliti na ushahidi unao, hakikisha unabaki na majority ya vitu vyako na custody ya watoto.
3rd kwa tabia za huyo shetani inawezekana hao watoto sio wako broo jaribu kuchunguza
4th miaka 30 bado kijana unaweza kuoa na kuanza maisha mapya na ukamsahau huyo mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…