Msaada wakuu, nimekamata SMS za mke wangu akichati na kijana mdogo mambo ya ajabu

Hakuna kumkimbiza huyo, unaendeleza ligi na wewe. Sasa ukimwacha nani ale hiyo kitu na huyo aliyempa chongo hawezi kumuoa. Safisha lenzi yake ili aone vizuri.
 
Achana na huyo mke mkuu laana zingine ziepuke tu mapema kabla haijawa mbali sana 30yrs mbona ww bado unawexa oa chombp mpya kabisa
 
Kwa sasa watanzania tunapitia mazito makubwa sana kiongozi, hizi shida nazo zimeongeza mambo kuwa magumu wake za watu wanatafunwa.....

Watoto wakike na wale single maza wamejeuza uchi wao sadakalawe ili mradi anapata chochote.
 
Chai.....LGBTQi mna mbinu za kupromoti mambo yenu kwa janja janja ya stori za kutunga
 
Mwishoni imekaa kimchongo kapata na nguvu za kwenda kuangalia mpira kwenye kibanda kinachosimamiwa na mume mwenzie!!! Pole yangu hapati
Jamaa amejitahidi kutunga uongo but amekwama...yaani alitaka kuharibu sifa ya wake zetu kwa maslahi anayojua yeye.
 
Vitu vingine sio vya kuomba shauri maana maamuzi yanayopaswa kuchukuliwa yapo wazi kabisa bila msaada wa VAR. Na mbaya zaidi demu / wife wa mtu akipigwa mbupu na kijana wa kitaa lazima masela wake wote wajue na ukute ana ka-birth ya ndani ndani wanatoa mpaka ushahidi (unasikia ana alama nyeusi kwenye paja la kulia.

Ila na wewe kwanini ulichukua simu ya wife, ona sasa kilichokukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…