Msaada wakuu nimekumbwa na tatizo kubwa sana!!!!!

Nimeshakujua wewe"" Wewe si Anthony wewe".... nilikuwaga nakwambia mimi hayo mapicha ya Pilau haya fai"... ikawa haunielewi ona sasa umeanza kulia lia
 
Si ....wala si..... [emoji12]
 
Nimeshakujua wewe"" Wewe si Anthony wewe".... nilikuwaga nakwambia mimi hayo mapicha ya Pilau haya fai"... ikawa haunielewi ona sasa umeanza kulia lia
Mkuu vijana wanaoangalia "pilau" ni 20000000000000++ [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] sa we utanijuaje wajameni??
 
hahaa mimi si room mate wako" Ina maana umenisahau ""!?
 
tatizo linalokutesa ni MINDSET.. yako

ukiingia kwa game na hofu ya kuharibu utaharibu tu....

huwezi dindisha huku mapigo ya moyo yanaenda mbio kwa uwoga wa kuharibu ni lazima utaharibu tu

embu fanya mazoezi kula vizuri alafu cha mwisho jiamini kuwa unaweza baaaasi utapiga game moja matata sana

says gatsby ...thank me later
 
Nimeshakujua wewe"" Wewe si Anthony wewe".... nilikuwaga nakwambia mimi hayo mapicha ya Pilau haya fai"... ikawa haunielewi ona sasa umeanza kulia lia
Sifa za wanaume wa "dar"[emoji12] [emoji28]
 
Back
Top Bottom