No More Drama
Member
- Jun 2, 2013
- 95
- 19
Salamu wana jf
nahitaji msaada nifanyeje kwa sababu nimepangiwa HGE wakati nina f ya maths itakuwaje? Na je mbeleni huko iyo f ya maths haitaniletea shida yani chuo kikuu? Na je nikienda kuisoma nikapata f ya BAM? *siombi iwe hivyo* siitaniletea shida kupata chuo? Mwisho je HGE na HGL ipi comb nzuri?
Nahitaji saaana ushauri wenu wana JAMIIFORUMS
wee unapenda kusoma kombi gani?
Zote nzuri bt km una F ya number nenda then uombe kubadili combination inawezekana pia
hge nzuri! Ila duuh inaonekana huwezi math ila co kesi BAM haina penalt ila kwa chuo kuna baadhi ya kozi kwako itakuwa sahau
Dogo,kapge hge then ukomae na BAM ili upate s,ukisoma hge,egm,eca na pcm then ukafaulu kwa kiwango cha div 1 na 2 nakuhakikishia hutakaa ujute kabisa katika maisha yako yote.over
Dogo acha uoga, BAM ni math ya kawaida kama ya Olevel ukienda kukomaa na topic zako chache tu nakuhakikishia utakuja hapa JF kutushukuru sababu HGE ni comb nzuri sana ipo ver flexible kwa kozi za chuo kuchukua, Mi binafsi nilisoma hiyo comb japo nilikuwa na F ya math olevel lakin hivi sasa nachekelea tu, achana na HGL utaambulia ualimu tu.
Dogo,kapge hge then ukomae na BAM ili upate s,ukisoma hge,egm,eca na pcm then ukafaulu kwa kiwango cha div 1 na 2 nakuhakikishia hutakaa ujute kabisa katika maisha yako yote.over
Dogo,kapge hge then ukomae na BAM ili upate s,ukisoma hge,egm,eca na pcm then ukafaulu kwa kiwango cha div 1 na 2 nakuhakikishia hutakaa ujute kabisa katika maisha yako yote.over
kwan BAM ikoje? Ngumu sana nini mbona naanya kuogopa sasa
umepiga mswaki hesabu za log na Geometric progression ndiyo utaiweza BAM? kasome hgl