Wakuu salam zenu.
Kwa muda sasa nmekuwa na tatizo la kuwashwa/kuumwa kwa miguu sehemu ya joint magotini na joints za chini karibia na unyayo pia juu ya mguu (foot) (sehemu ya mguu inayotumika kwa saaana kupigia danadana) napo pamekuwa pakiniwasha/kuuma kwa muda sasa.
ila kila ninapoosha au kukanda sehemu inayouma/kuwasha na maji ya baridi au kwa kutumia barafu basi muwasho/maumivu hupoa na wakat mwngne kupotea kabisa kwa siku hiyo.
Nilijaribu kushare ili tatzo na watu wangu wa karibu kuna baadhi waliniambia eti itakuwa ni upungufu wa vitamini B but nmejaribu kugoogle na kuisoma vzr vitamuni B kwa kuangalia dalili za mtu kukosa vitamini B nmeona sina dalili hata moja lakini nmeangalia vyakula vnavyoongeza vitamini B nikakuta ndo vyakula vyangu vya kila siku!
Nimekuja kwenu wadau naomba msaada wenu maana hili tatzo linanitesa na kunikosesha raha sana hasa hasa mida ya usiku.