Msaada wakuu whatsApp yangu,Nashindwaa kupata verification code

Msaada wakuu whatsApp yangu,Nashindwaa kupata verification code

Titus3652

Senior Member
Joined
Mar 10, 2019
Posts
142
Reaction score
187
Wakuu nashindwa kupata verification code ya whatsap shida ni nini naombeni msaada wenu.
 
Nashauri Mods peleka hii jukwaa la tech & Gadgets
 
Wakuu nashindwa kupata verification code ya whatsap shida ni nini naombeni msaada wenu.
Jaribu tena baada ya saa 24, epuka sana kuomba verification kwa mkupuo madhara yake utazuiwa kabisa kupokea code, unapo omba subiri muda uliopangiwa wa kupokea, wakati mwingine system inakuwa busy na kutuma baada ya nusu saa
 
Kama hutumii official app ya whtsp hakikisha line ya no ya cm unyounga whtsp imo kwenye cm husika ulioweka iyo app ya whtsp
 
Itulize kwa mda ata ipite sku moja ndio urequest code tena,
Au wasiliana nao kwa email
 
Back
Top Bottom