Msaada wakuu

Msaada wakuu

Vibamia ni Bamia ambazo hazijakomaa vizuri yani bamia changa au zile zilizokomaa lakini zimedumaa kutokana kukosa mahitaji muhimu ya ukuaji.......
Mkuu hakuna maana zaidi ya hiyo?
 
Eti Vibamia ndo nini?
1470053969896.jpg
 
Mshana jr. Vipi kuhusu defenda nyeupe jana ???
Kwanza nipe pole maana ile post ilikuja kuchanjiwa baharini
Kuhusu hiyo df walipotea njia (kama ni kweli lakini).....[emoji134] [emoji144]
 
Vibamia ni Bamia ambazo hazijakomaa vizuri yani bamia changa au zile zilizokomaa lakini zimedumaa kutokana kukosa mahitaji muhimu ya ukuaji.......
Kwa hiyo kuna MABAMIA?
 
Back
Top Bottom