Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
Eti Vibamia ndo nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo neno nimeona linatumika sana humu jf sasa sielewi.Ni vibamia tuu mkuu,
Kwani wewe unajua ni nini?
Mkuu hakuna maana zaidi ya hiyo?Vibamia ni Bamia ambazo hazijakomaa vizuri yani bamia changa au zile zilizokomaa lakini zimedumaa kutokana kukosa mahitaji muhimu ya ukuaji.......
Eti Vibamia ndo nini?
Aiseeee....kumbe ndo hivi vinazungumziwa humu?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Aiseeee....kumbe ndo hivi vinazungumziwa humu?
Safi sana hizo ni nzuri kiafya zinaongeza fluid kwe magoti ... viungo kwa ujumla.
Nimekuham mtani za siku tele?Safi sana hizo ni nzuri kiafya zinaongeza fluid kwe magoti ... viungo kwa ujumla.
Mtani habar ya siku mingi
Salama mtaniNimekuham mtani za siku tele?
Kwanza nipe pole maana ile post ilikuja kuchanjiwa bahariniMshana jr. Vipi kuhusu defenda nyeupe jana ???
Kwa hiyo kuna MABAMIA?Vibamia ni Bamia ambazo hazijakomaa vizuri yani bamia changa au zile zilizokomaa lakini zimedumaa kutokana kukosa mahitaji muhimu ya ukuaji.......
Mh yupo mtu hapa kachanganya kwenye chipsiNdio vibamia tena ukitaka kufaidi ule na papa.