St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Samahani kwa nitakaowakwaza kwa ujumbe wangu,lakini hili ni tatizo ambalo nimekuwa nalo maisha yangu yote tokea nianze kufanya mapenzi yapata miaka 20 sasa.
Tatizo langu ni kuchelewa sana kufikia kilele wakati wa majambo mpaka inafikia mwenza wangu analalamika kwa muda ninaotumia.Kwa kawaida ile first round huwa natumia dk 30 na kuendelea wakati mwingine nafika mpaka 45.
Niliwahi kwenda hospitali muhimbili nikamuona mtaalamu akanieleza kuwa huo sio ugonjwa ila nishukuru kwa kubarikiwa maana wengine ni kinyume.
Nikamuona tena dokta katika nchi moja ya Ulaya magharibi yeye aliniambia anataka kuhakikisha ndio ataweza kunisaidia,nikakimbia.Sasa kwa imani niliyonayo hapa JF nina uhakika hakuna linalokosa majibu,na ninaomba kwa heshima na taadhima mwenye ufahamu wa kuweza kumfanya mwanaume awahi kidogo anisaidie ili niondokane na adhabu hii niliyonayo.
Natanguliza shukrani zangu.