kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
habari za jioni wakuu hv kuna kiongozi wa chama cha viziwi alikuwa ana ofisi buguruni viziwi anaitwa Rahim mpogo amefariki duniani maana mimi kuna kipindi alinisaidia alama niwe mkalimani wa lugha ya alama sasa humu jukwaani nikikuwa nahisi ni huyu member mwenzetu Bitozi maana kuna siku alianzisha mada ya lugha alama akasema yy ni kiziwi kama yupo hajitokeze kuniondoa sintofaham
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app