Ninapo fanya kazi kubwa(nzito) hasa za ujenzi kwa muda wa siku 2 au 3 na kuendelea linapotoka jasho ngozi huchoma choma alaf ukiikamua km unakamua kipele huwa inachoma zaid. Je nn tatizo? Msaada jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app