Msaada wakuu

Ruwamangi

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2020
Posts
1,292
Reaction score
2,382
Habari wadau wa Elimu wa JF

Ni matumaini mko poa baadh yetu tumeona matokeo ya Form four 2023

Ku mtahiniwa binafsi amepata dMoja kati ya masomo yake nauliza anaweza kupata leaving certificate pamoja na cheti cha kuhitimu?
 
Leaving wanafunzi wote wanapata HAIJALISHI UFAULU
Cheti cha NECTA ni Kwa mwanafunzj kuanzia 4.

#YNWA
 
Angalau D mbili anaweza kuwa na division 4 ya 33
Angeweza kupata Cheri Cha NECTA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…