Ruwamangi JF-Expert Member Joined Jun 23, 2020 Posts 1,292 Reaction score 2,382 Jan 25, 2024 #1 Habari wadau wa Elimu wa JF Ni matumaini mko poa baadh yetu tumeona matokeo ya Form four 2023 Ku mtahiniwa binafsi amepata dMoja kati ya masomo yake nauliza anaweza kupata leaving certificate pamoja na cheti cha kuhitimu?
Habari wadau wa Elimu wa JF Ni matumaini mko poa baadh yetu tumeona matokeo ya Form four 2023 Ku mtahiniwa binafsi amepata dMoja kati ya masomo yake nauliza anaweza kupata leaving certificate pamoja na cheti cha kuhitimu?
Liverpool VPN JF-Expert Member Joined Aug 29, 2020 Posts 6,958 Reaction score 16,358 Jan 25, 2024 #2 Leaving wanafunzi wote wanapata HAIJALISHI UFAULU Cheti cha NECTA ni Kwa mwanafunzj kuanzia 4. #YNWA
machiaveli JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,225 Reaction score 5,055 Jan 25, 2024 #3 Angalau D mbili anaweza kuwa na division 4 ya 33 Angeweza kupata Cheri Cha NECTA