IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Ukiwa na root mpesa hazifanyi kazi, unless uwe ume temper na mambo mengi kama Magisk, safetynet na mambo mengine.Ni hivi nna mwezi Natumia samsung hapa alinipa bro, ila nimegundua hii simu ali root baada ya ku downlod app ya halopes na mpes sasa natak niondoe
je nikiondoa hiz file nilizo nazo zitafutika? Mfano nyimbo, pc n.k. ni hilo tu
Chief-Mkwawa
Shida ndio apo mkuu natak nitumie hizi app na nmb pia aifungki mfano kuchek salio throuh app ni bureUkiwa na root mpesa hazifanyi kazi, unless uwe ume temper na mambo mengi kama Magisk, safetynet na mambo mengine.
Hapo ukitoa tu root ama hata ukiflash hai guarantee kutoa hizo lock, especially kama Ali unlock bootloader,
Kama simu yako haina tatizo iache kama ilivyo.
Hutapoteza ila siku hizi sio root tu inavyofanya hizo app zisifanye kazi bali ku unlock bootloader, ili ulock bootloader utapoteza data.Shida ndio apo mkuu natak nitumie hizi app na nmb pia aifungki mfano kuchek salio throuh app ni bure
akuna shida nyingne kweny smu zaidi ya iyo mkuu
Ila kikubwa ungenijbu kwanza hii je nitapoteza file niki unroot ? Au vipi.
Du ata sjajua ka root vip au kuna sehem ya kuangalia mkuuHutapoteza ila siku hizi sio root tu inavyofanya hizo app zisifanye kazi bali ku unlock bootloader, ili ulock bootloader utapoteza data.
Ame root kupitia nini? Mimi pia nimeroot na app zote zinafanya kazi kuna namna ya kujificha.
shida ya samsung ukisha root ina trrip knoxx parmanently, kuna fuse nadhani inaungua na inaji zero, so hata uki flash stock firmware bado baadhi ya app kama tigopesa version mpya zitagoma maana zinaangalia knox status, ila njia rahisi kama imerootiwa install magiksNi hivi nna mwezi Natumia samsung hapa alinipa bro, ila nimegundua hii simu ali root baada ya ku downlod app ya halopes na mpes sasa natak niondoe
je nikiondoa hiz file nilizo nazo zitafutika? Mfano nyimbo, pc n.k. ni hilo tu
Chief-Mkwawa
Asant mkuushida ya samsung ukisha root ina trrip knoxx parmanently, kuna fuse nadhani inaungua na inaji zero, so hata uki flash stock firmware bado baadhi ya app kama tigopesa version mpya zitagoma maana zinaangalia knox status, ila njia rahisi kama imerootiwa install magiks
inashauriwa u back up vitu vyako vyote unatopataka ku modify system files maana there is possiblity utatakiwa kufuta kila kitu
Unaporoot simu kunakuwa na root manager ambayo ina manage apps mbalimbali unazozipa root access. Hio itafute kwenye list ya apps zako, most of time itaji rename kwenda jina jengine, icon ya magisk ipo hiviDu ata sjajua ka root vip au kuna sehem ya kuangalia mkuu
Iyo hapo mkuu nimeiyonaUnaporoot simu kunakuwa na root manager ambayo ina manage apps mbalimbali unazozipa root access. Hio itafute kwenye list ya apps zako, most of time itaji rename kwenda jina jengine, icon ya magisk ipo hivi
View attachment 3062510
Hujawahi ona kitu kama hiki?
Step ya kwanza mkuu kuna kitu kinaitwa denylist, hio ni feature ambayo unazinyima apps kutojua kama simu ina root, inafanya kazi kwa baadhi ya app ila nyengine haikubali, anza nayo ingia magisk, halafu juu kulia bonyeza setting tafuta deny list then configure,Iyo hapo mkuu nimeiyona View attachment 3062526