Habari wakuu wote.
Ukisikiliza Clouds Fm wanatangaza kuwa secretarieti ya ajira na wizara ya fedha wametoa nafasi za kazi lakini ukitazama website www.ajira.go.tz iko suspended na Public Service Management hili tangazo hAlimo.
Wakuu tusaidiane katika hili.