msaada wakuu

msaada wakuu

Bandabichi

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
230
Reaction score
42
Habari wakuu wote.
Ukisikiliza Clouds Fm wanatangaza kuwa secretarieti ya ajira na wizara ya fedha wametoa nafasi za kazi lakini ukitazama website www.ajira.go.tz iko suspended na Public Service Management hili tangazo hAlimo.
Wakuu tusaidiane katika hili.
 
nilifikiri peke yangu,na mi pia cjaelewa cjui inakuaje.....msaada
 
Back
Top Bottom