Msaada wakuu

Phenomenon Lady

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
407
Reaction score
245
Habari zenu wakuu,
Naomba msaada wenu maana sielewi kama hii ni hali ya kawaida au kuna tatizo.
Nina week moja tu ujauzito wangu ufike miezi nane(8),lately nasikia mifupa yote kuanzia kiunoni hadi kwenye maungio ya mapaja,inaniuma sana

Sielewi kama kuna tatizo kwasababu sijawahi jisikia hivi kwa mtoto wangu wa kwanza (huyu ni wa pili)
msaada please
 

Phenomenon Lady pole kwa mumivu maumivu unayoeleza kwa kipindi cha miezi 8 ya ujauzito ni ya kawaida kwa sababu
.....kuongezeka ukubwa wa mtoto kunakosababisha kujitanua misuli,joint hata mifupa.
.....mtoto anaanza kushuka taratibu tayari kwa safari ya kuelekea kuzaliwa hivyo lazima kuwe na adjustiment nyingi kuweka urahisi wa mtoto kutoka.
,,,,hivyo mimi sioni kama kuna shida hali hiyo itaisha ukijifungua.
 

pole mwaya my dada nimeamin mimba haina uzoefu,kwa uelewa wangu mm naona ni kawaida coz mtoto ndo anajianda au ameshaelekea getin kwa maandaliz ya kuja dunian bt wot i can advice you ni kwenda kwa matabib kwaajil ya kuona maendeleo ya mtoto bt mazoez usisahau japo kwa uchache ktk kila cku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…