Msaada wale waliosoma DIT

Msaada wale waliosoma DIT

hendeboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
218
Reaction score
21
kwa wale wote waliosoma DIT bachalor ya mechanical engineering nisaidieni mwongozo wa semester
ya kwanza ni masomo yapi mnaanza nayo pamoja na sylabus zake
 
kwa wale wote waliosoma DIT bachalor ya mechanical engineering nisaidieni mwongozo wa semester
ya kwanza ni masomo yapi mnaanza nayo pamoja na sylabus zake

fundamental of ac circuit analysis
princeple of electrical machines
analogue electronics
calculus
computing using mathematics software
technical communication skills
autocad
machine element
law of eng. thermodynamics
systeam reliability and plant maintenance
introduction to fluid mechanics
manufacturing process

angalizo||""""HUHITAJI KWENDA TUITION PIA UCENDE NA NGUO ZOTE||
UNAJUA NINI MAN KAMA HUJATOKA TECHNICAL JARIBU KUJIKAZA KIDOGO
 
kwa wale wote waliosoma dit bachalor ya mechanical engineering nisaidieni mwongozo wa semester
ya kwanza ni masomo yapi mnaanza nayo pamoja na sylabus zake


kuhusu mechanical enginener ni hivi kwanza
1.madarasa ya mechanical huwa hayanaga watoto wa kike....ukimkuta may be mmoja au wawili na wengi
wao wanakuwa sio walembo

2.ukitaka kupata watoto wazuli njoo huku kwenye computer engineering na telecommunications ukiona haujapenda vijana wengi wa hapa huwa tunajisogeza hapoo c.b.e kutafuta warembo maana warembo wa hapa ni wagumu sana kupenda mahandsome mpaka uwe darasani unaongozaaa

3.kuhusu d.i.t hapa disco disco watu wanadisco vibaya mnoo...elimu ya hapa si ya kitoto...ila uzuli ukimaliza tuu hapa mara nyingi watu wa mechanical priority kubwa hupata ajira harakaaa

4.kuhusu weekend vijana wa hapa huwa wanapenda sana kupozee sana maeneo ya jolly club...kurefresh mind zaoo

5.karibu sana d.i.t......
 
Kweli, Mechanical hainaga mabinti na ukikuta hawazidi watano, mie mwenyewe mwaka wetu tumemaliza wanafunzi kama 30 pasipo kua na mwanamke hata mmoja. Tellecom na Computer walikua wanatulingishia sana mabinti zao
 
Karibu sana DIT..for the best engineering knowlegde.
 
fundamental of ac circuit analysis
princeple of electrical machines
analogue electronics
calculus
computing using mathematics software
technical communication skills
autocad
machine element
law of eng. thermodynamics
systeam reliability and plant maintenance
introduction to fluid mechanics
manufacturing process

angalizo||""""HUHITAJI KWENDA TUITION PIA UCENDE NA NGUO ZOTE||
UNAJUA NINI MAN KAMA HUJATOKA TECHNICAL JARIBU KUJIKAZA KIDOGO

poa mwana nackilizia boom lisome kwanza
 
Back
Top Bottom