Wakuu naombeni kujua kama majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo cha ualimu ngazi ya cheti 2014/2015 yameshatoka.kwa yeyote mwenye tetesi please anijuze.
hata wale walio private hawatapata hawatapata ajira . kwani ajira za cheti baada ya miaka miwili hazitakuwepo kama una ndugu yako ni vema kumshauri hayo mafunzo ya cheti ni biashara tu wala sio ya kwenda kwani hakuna ajira za cheti ni kupoteza ela tu