Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,066
- 1,194
Habari wakuu
Nilikuwa naombeni msaada juu ya hili tatizo. Ni hivi mara ya kwanza nilipokuwa nikienda haja ndogo sehemu yangu ya uume ilikuwa inapata maumivu kwa mbali ikabidi niende hispital kupima nikagundulika nina maambukizi ya gono nikaanza kutumia dawa nikamaliza nikaenda hospital nyingine kupima mkojo nikaonekana upo safi hakuna tatizo
Ila baada ya kupita week moja baada ya kumaliza dozi ya gono nikaona kadalili kengine nikienda haja ndogo mkojo kama hauishi hivi nikaenda kupima tena nikakutwa nina UTI sasa natumia dawa. Tatizo ni hili mara chache sana napoamka asubuhi nikienda haja ndogo baada ya kumaliza kuna ute flani hivi kama makamasi unakuwa unatoka lkn uume haupati maumivu yoyote
Sasa nilikuwa najiuliza huu ute ni mbegu za uzazi au ni usaha maana napata wasiwasi lkn hii hali hainitokei mara kwa mara ni mara chache mno hasa wakati wa hasubuhi , msaada jamani