Msaada wan JF

Msaada wan JF

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,066
Reaction score
1,194
Habari wakuu
Nilikuwa naombeni msaada juu ya hili tatizo. Ni hivi mara ya kwanza nilipokuwa nikienda haja ndogo sehemu yangu ya uume ilikuwa inapata maumivu kwa mbali ikabidi niende hispital kupima nikagundulika nina maambukizi ya gono nikaanza kutumia dawa nikamaliza nikaenda hospital nyingine kupima mkojo nikaonekana upo safi hakuna tatizo

Ila baada ya kupita week moja baada ya kumaliza dozi ya gono nikaona kadalili kengine nikienda haja ndogo mkojo kama hauishi hivi nikaenda kupima tena nikakutwa nina UTI sasa natumia dawa. Tatizo ni hili mara chache sana napoamka asubuhi nikienda haja ndogo baada ya kumaliza kuna ute flani hivi kama makamasi unakuwa unatoka lkn uume haupati maumivu yoyote

Sasa nilikuwa najiuliza huu ute ni mbegu za uzazi au ni usaha maana napata wasiwasi lkn hii hali hainitokei mara kwa mara ni mara chache mno hasa wakati wa hasubuhi , msaada jamani
 
Kwanza kwa uelewa wangu hio ya kukojoa halafu kama mkojo hauishi vile ni dalili ya kisonono ambapo unakua unatokwa na kitu kama usaha mfano wa shahawa.

Ushauri wangu kapime upya sehemu nyingine maana hata mi nilishawahi kupima maabala flan nikaambiwa nina uchafu tu wa mkojo nikapewa dawa ila kila siku zilivokua zinaenda nilikua nazidi kutokwa na uchafu huo huku natumia dawa, nikaamua kwenda kupima sehemu tofauti ndio nikaambiwa kua nina kisonono ndio nikatibiwa gonjwa hilo.
 
Habari wakuu
Nilikuwa naombeni msaada juu ya hili tatizo. Ni hivi mara ya kwanza nilipokuwa nikienda haja ndogo sehemu yangu ya uume ilikuwa inapata maumivu kwa mbali ikabidi niende hispital kupima nikagundulika nina maambukizi ya gono nikaanza kutumia dawa nikamaliza nikaenda hospital nyingine kupima mkojo nikaonekana upo safi hakuna tatizo

Ila baada ya kupita week moja baada ya kumaliza dozi ya gono nikaona kadalili kengine nikienda haja ndogo mkojo kama hauishi hivi nikaenda kupima tena nikakutwa nina UTI sasa natumia dawa. Tatizo ni hili mara chache sana napoamka asubuhi nikienda haja ndogo baada ya kumaliza kuna ute flani hivi kama makamasi unakuwa unatoka lkn uume haupati maumivu yoyote

Sasa nilikuwa najiuliza huu ute ni mbegu za uzazi au ni usaha maana napata wasiwasi lkn hii hali hainitokei mara kwa mara ni mara chache mno hasa wakati wa hasubuhi , msaada jamani
Mkuu Pole una amradhi ya UTI Sugu usiosikia Dawa za Hospitali nitafute niapte kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Back
Top Bottom