Ngwada
Member
- Apr 28, 2011
- 69
- 3
Ndugu wana JF, Kutokana na harakati za kimaisha Ndugu yangu wa karibu kapigwa na "stroke" huu ni
mwezi wa nne sasa yupo kitandani. Mguu na mkono havijaweza kujimudu hadi sasa ingawa anaendelea
na mazoezi.
Nimeonana na doctors wengi wote wananambia ni mazoezi tuu ndo dawa iliyo baki lakini muda wazidi
songo jamaa yangu hatembei bado. Najua kuna wenzetu wameshida kiunzi hiki, naomba uzoefu wenu
katika hili.