Msaada wana FJ Kuhusu "Stroke"

Msaada wana FJ Kuhusu "Stroke"

Ngwada

Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
69
Reaction score
3
Ndugu wana JF, Kutokana na harakati za kimaisha Ndugu yangu wa karibu kapigwa na "stroke" huu ni
mwezi wa nne sasa yupo kitandani. Mguu na mkono havijaweza kujimudu hadi sasa ingawa anaendelea
na mazoezi.

Nimeonana na doctors wengi wote wananambia ni mazoezi tuu ndo dawa iliyo baki lakini muda wazidi
songo jamaa yangu hatembei bado. Najua kuna wenzetu wameshida kiunzi hiki, naomba uzoefu wenu
katika hili.
 
mpe pole mkuu! madocta watakuleta majibu soon!
 
Strock inategemea how serious ilikuwa na sehemu gani ya ubongo umehusika. Some svere strocks hutokea hasa kwa wavuta sigara na waliokuwa sana wanatumia diclophenac kuna uwezekano asigain tene power ya kutumia viungo. Mwache afanye MRI ili ifahamike how svere his strock was in the meantime mazoezi asiache. Mpe pole sana mshikaji wako na kwa Allah kila kitu chawezekan.
 
Mkuu endelea hayo mazoezi unamfanyia,lakina wataalam wanakuja kwa tiba zaidi. Usife moyo maana kuuguza si jambo rahisi,pole sana mkuu.
 
Muomba Mungu hachoki na kila gojwa linatiba yake fuatialia ushauri wa madactari.mi nina mjomba angu hadi leo yupo kitandani hadi kikombe cha babu kanywa lakini wapi.wengine wanapona lakini wetu bado na ni mwaka sasa.imebaki kumuombea yeye pamoja na nafsi zetu.
 
Strock inategemea how serious ilikuwa na sehemu gani ya ubongo umehusika. Some svere strocks hutokea hasa kwa wavuta sigara na waliokuwa sana wanatumia diclophenac kuna uwezekano asigain tene power ya kutumia viungo. Mwache afanye MRI ili ifahamike how svere his strock was in the meantime mazoezi asiache. Mpe pole sana mshikaji wako na kwa Allah kila kitu chawezekan.

mkuu umenena vyema, ni vizuri kufanya MRI najua kipimo hiki ni ghali to some extent, kujua type ya stroke ni muhimu kama ni ya damu kugsnda, Ischaemic ama ni ya damu kuvuja, haemorrhagic which is a bad one, mara nyingi wengi hupata ya damu kuganda, pia mazoezi ni muhimu, huenda asirudie fully function but wuth mazoezi anaweza kujengewa uwezo wa kufanya basic needs kama kula, kupiga mswaki.
 
Ndugu zangu hata akifanya MRI au chochote kwa mgonjwa haitakuwa na faida yeyote kwani stroke ishatokea labda daktari atafaidi tu kujua aina ya stroke

Ishu kubwa with stroke is ZUIA usipate, ukishapa that's it, nothing helps except physiotherapy+occupational therapy

Wito wangu tujikinge na STROKE
 
Kufanya MRI ni vema zaidi kwani licha ya Dk kujua sehemu ya ubongo iliyoumia pia inasaidia aina ya matibabu hasa wengine wanaweza kufanyiwa upasuaji kuondoa madonge ya damu kwenye ubongo hivyo kuharakisha upataji nafuu wa mgonjwa. Pia kuna dawa zinazoharakisha upataji nafuu mfano
Neurotone, neurobion,
Pia nyingine zinazuia tatizo la stroke kujirudia ambazo zinaitwa antihypertensives, pia kuna dawa kama junior aspirin hutumika kwa wagonjwa wa stroke.
 
Ndugu wana JF, Kutokana na harakati za kimaisha Ndugu yangu wa karibu kapigwa na "stroke" huu ni
mwezi wa nne sasa yupo kitandani. Mguu na mkono havijaweza kujimudu hadi sasa ingawa anaendelea
na mazoezi.

Nimeonana na doctors wengi wote wananambia ni mazoezi tuu ndo dawa iliyo baki lakini muda wazidi
songo jamaa yangu hatembei bado. Najua kuna wenzetu wameshida kiunzi hiki, naomba uzoefu wenu
katika hili.

Wasiliana na huyv doctor alikuwa anaelezea tbc kuhusu stroke na aina zake na matibabu yake plz tunaomba feedback ya matibabu kwa faida ya wote 0652757070
 
Back
Top Bottom