Strock inategemea how serious ilikuwa na sehemu gani ya ubongo umehusika. Some svere strocks hutokea hasa kwa wavuta sigara na waliokuwa sana wanatumia diclophenac kuna uwezekano asigain tene power ya kutumia viungo. Mwache afanye MRI ili ifahamike how svere his strock was in the meantime mazoezi asiache. Mpe pole sana mshikaji wako na kwa Allah kila kitu chawezekan.
Ndugu wana JF, Kutokana na harakati za kimaisha Ndugu yangu wa karibu kapigwa na "stroke" huu ni
mwezi wa nne sasa yupo kitandani. Mguu na mkono havijaweza kujimudu hadi sasa ingawa anaendelea
na mazoezi.
Nimeonana na doctors wengi wote wananambia ni mazoezi tuu ndo dawa iliyo baki lakini muda wazidi
songo jamaa yangu hatembei bado. Najua kuna wenzetu wameshida kiunzi hiki, naomba uzoefu wenu
katika hili.