Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
hapo nimeelewa sebho tu.Wasuuze otya??
Jebale sebho
Tewali problem
Ali omkatare
Nawe kale
Namimi mtz najifunza kiganda
Cc Smart911
toina magezi!Habari wanajamii forum pande za Uganda
Mimi ni mdau wa jamii forum kutoka tanzania lakini ninapenda sana kukijua kiuganda kukiongea lakini bado sijapata mtu wa kunifundishwa Vipi wanajamii forum pande za uganda mnaweza kunisaidia kuijua lugha yenu kwa njia gani,hata nikipata online learning through my email address nitafurahi
Idumu Jamii Forum-Wadumu wana Jamii Forum Uganda
Hawajui kiswahili hao andika kiingereza watakujibu.