Msaada wana jamii forum UGANDA

Msaada wana jamii forum UGANDA

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Habari wanajamii forum pande za Uganda
Mimi ni mdau wa jamii forum kutoka tanzania lakini ninapenda sana kukijua kiuganda kukiongea lakini bado sijapata mtu wa kunifundishwa Vipi wanajamii forum pande za uganda mnaweza kunisaidia kuijua lugha yenu kwa njia gani,hata nikipata online learning through my email address nitafurahi
Idumu Jamii Forum-Wadumu wana Jamii Forum Uganda
 
Hawajui kiswahili hao andika kiingereza watakujibu.
 
Wasuuze otya??

Jebale sebho

Tewali problem

Ali omkatare

Nawe kale

Namimi mtz najifunza kiganda

Cc Smart911
hapo nimeelewa sebho tu.
nyabo kinyume chake.
tia na tafsiri ya kiswahili na sisi siku tukitembelea mitaa hiyo tuwe na kianzio. maana niliwahi kwenda kampala nzima wanaongea lugha ya jadi kiganda.
 
Habari wanajamii forum pande za Uganda
Mimi ni mdau wa jamii forum kutoka tanzania lakini ninapenda sana kukijua kiuganda kukiongea lakini bado sijapata mtu wa kunifundishwa Vipi wanajamii forum pande za uganda mnaweza kunisaidia kuijua lugha yenu kwa njia gani,hata nikipata online learning through my email address nitafurahi
Idumu Jamii Forum-Wadumu wana Jamii Forum Uganda
toina magezi!
 
Ungekuwa na mawasiliano ya Kinyonga angekufundisha vyema sana.
 
Jangu tukye - Njoo tule
Kumasaawo - Aisee konda shusha hapo/hapa
Otunda Sente Meka - Unauza Shilling ngapi?Ogenda waa - unaenda wapi?
 
Back
Top Bottom