permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Hivyo vitu vinatumikaje?chukua karot moja ndiz moja parachichi moja na tikit kipande
tikit ukila kula na mbegu na ganda ukumbuke kuliosha
kula asubuh na jion siku mbili tu tattizo linaisha ukipona usisite kutoa bakshishi na takshishi zako kwa tigopesa na mpesa namba ni moja tu ni hii 0712505049 kias chochote kama shukran kiwe kikubwa au kidogo
Huyo jamaa yko Hana tatizo..kubwa...pengine ni mvuto tu....wa huyo mwanamke wake...au mwambiye afanye juu chini atafute msichana mwingine...mpya....au Kama anaweza akalala nae halafu alfajiri ajaribu kugegeda....hakuna Jogoo asiyewika asubuhi....Kama hawiki basi awaone wataalam....sometimes mawazo tu au hofu pia inapelekea kushindwa kuwika vizuri...Sina haya kuficha kinacho nisibu ni kweli rafiki yangu na si mimi Ila yeye hayuko humu sijui namna ya kutibu tatizo hili thus na share na Wakuuu zangu humu najua naweza kupata ushauri au njia ya kumsaidia unajua ili tatizo akipata rafiki inakua kma wewe maana huruma na psychological inaleta effect kubwa sana so Plz Wana Jamiiiiiiiiiiiii
Hili nililiwaza na nishamwambiaOya jomba mwambie arelax apunguze stress na msongo wa mawazo inawezekana ilimtokea Mara moja lakin akaona limekuwa tatizo so anakuwa na stress kila akikutana naye ajipime kama mzigo unasimama kila akiamka then stress ndo tatizo
Hasante kwa ushauri mkuuchukua karot moja ndiz moja parachichi moja na tikit kipande
tikit ukila kula na mbegu na ganda ukumbuke kuliosha
kula asubuh na jion siku mbili tu tattizo linaisha ukipona usisite kutoa bakshishi na takshishi zako kwa tigopesa na mpesa namba ni moja tu ni hii 0712505049 kias chochote kama shukran kiwe kikubwa au kidogo
Sawa Dr mzizi mkavuUkiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
chepuka ukiona tena hivo kaombeweNina kijana mwenzangu rafiki yangu yeye anaishi mbali na mpenz wake na hukutana mara moja moja sana yaan hata miez 4 na kuendelea sometimes
but wanapokuwa wawili anakua na hamu na inasimama vizur lakin inapofika wakati wa kuingiza inanywea yaan inashindwa kupandisha mlima sasa wana Jamii naomben mawazo ya kumsaidia ndugu yetu
true brotatizo linawakumba sana wapiga punyeto
Nina kijana mwenzangu rafiki yangu yeye anaishi mbali na mpenz wake na hukutana mara moja moja sana yaan hata miez 4 na kuendelea sometimes
but wanapokuwa wawili anakua na hamu na inasimama vizur lakin inapofika wakati wa kuingiza inanywea yaan inashindwa kupandisha mlima sasa wana Jamii naomben mawazo ya kumsaidia ndugu yetu
Pia jaribu kuongea naye kama ni porn addicted hiyo inweza pia ikasababisha hiyo matatizoHili nililiwaza na nishamwambia
Big gun mbavu zanguKuwa mkweli kuwa ni wewe unahitaji, uzuri humu ni majina feki karibia yote, au ulikuwa shuhuda wakati big gun ikigoma kuload bullets?