Msaada Wana Jamiii wenzangu wa tatizo la nguvu za kiume

Msaada Wana Jamiii wenzangu wa tatizo la nguvu za kiume

chukua karot moja ndiz moja parachichi moja na tikit kipande

tikit ukila kula na mbegu na ganda ukumbuke kuliosha
kula asubuh na jion siku mbili tu tattizo linaisha ukipona usisite kutoa bakshishi na takshishi zako kwa tigopesa na mpesa namba ni moja tu ni hii 0712505049 kias chochote kama shukran kiwe kikubwa au kidogo
Hivyo vitu vinatumikaje?
 
Nenda pale morogoro sehemu Luna Kituo kidgo cha mabasi abiria wanapo chimba dawa wanachoma sana NYAMA kuna vjana huwa wanauza pale dawa za jadi ,a kimasai ni zinafaa sana,ukipita njia panda ya mzumbe km 2 kama unaelekea Iringa.
 
Oya jomba mwambie arelax apunguze stress na msongo wa mawazo inawezekana ilimtokea Mara moja lakin akaona limekuwa tatizo so anakuwa na stress kila akikutana naye ajipime kama mzigo unasimama kila akiamka then stress ndo tatizo
 
Fanya mazoezi, kula vyakula vizuri yaani mlo kamili, pumzika na punguza mawazo,pendelea kutumia asali hasa ya nyuki wadogo au mbichi inasaidia sana, vyakula kama mihogo,karanga tangawizi na mihogo mibichi
 
Sina haya kuficha kinacho nisibu ni kweli rafiki yangu na si mimi Ila yeye hayuko humu sijui namna ya kutibu tatizo hili thus na share na Wakuuu zangu humu najua naweza kupata ushauri au njia ya kumsaidia unajua ili tatizo akipata rafiki inakua kma wewe maana huruma na psychological inaleta effect kubwa sana so Plz Wana Jamiiiiiiiiiiiii
Huyo jamaa yko Hana tatizo..kubwa...pengine ni mvuto tu....wa huyo mwanamke wake...au mwambiye afanye juu chini atafute msichana mwingine...mpya....au Kama anaweza akalala nae halafu alfajiri ajaribu kugegeda....hakuna Jogoo asiyewika asubuhi....Kama hawiki basi awaone wataalam....sometimes mawazo tu au hofu pia inapelekea kushindwa kuwika vizuri...
 
Mi nawaza kabisa jamani rafiki yako alikwambia yote hayo itakua mmeshibana mnoo zaidi ya sana..wanaume hawatangazagi kabisa ayo mambo labda binti ndio awe amekwambia
 
Oya jomba mwambie arelax apunguze stress na msongo wa mawazo inawezekana ilimtokea Mara moja lakin akaona limekuwa tatizo so anakuwa na stress kila akikutana naye ajipime kama mzigo unasimama kila akiamka then stress ndo tatizo
Hili nililiwaza na nishamwambia
 
chukua karot moja ndiz moja parachichi moja na tikit kipande

tikit ukila kula na mbegu na ganda ukumbuke kuliosha
kula asubuh na jion siku mbili tu tattizo linaisha ukipona usisite kutoa bakshishi na takshishi zako kwa tigopesa na mpesa namba ni moja tu ni hii 0712505049 kias chochote kama shukran kiwe kikubwa au kidogo
Hasante kwa ushauri mkuu
 
Kijana kula protein za kutosha, balance your diet and go to exercise. Dsm kuna joto linapunguza mnkari, usiogope ukaanza kuibiwa eti unatibiwa. Halafu kuna vijana wakubwa humu 45-50 nao wanalalamika, jamani uzee unawanyemelea mtakufa, fanya tendo kwa raha usifikiri bado unaweza kurusha tena risasi 3-5 kwa siku kama ulivyokuwa miaka 25-30. Matatizo yakizidi muone daktari
 
Mkuu siku nyingine ukiomba ushauri usimsingizie rafiki yako. Kutojiamini ndo kunakufanya usiwe na nguvu za kiume
 
Nina kijana mwenzangu rafiki yangu yeye anaishi mbali na mpenz wake na hukutana mara moja moja sana yaan hata miez 4 na kuendelea sometimes

but wanapokuwa wawili anakua na hamu na inasimama vizur lakin inapofika wakati wa kuingiza inanywea yaan inashindwa kupandisha mlima sasa wana Jamii naomben mawazo ya kumsaidia ndugu yetu
chepuka ukiona tena hivo kaombewe
 
Mbona me nimepiga punyeto kitambo lakini sina tatizo hilo
 
Mwambie aache kula "junk food" na aanze kula natural foods. In short he should go natural.Vinywaji vya kipuuzi kama soda, unnatural juices,beer,sigara,bottled water,coffee,tea na other on the shelf foods aachane navyo immediately kwa kuwa vinaweza kuwa chanzo cha tatizo hilo.Aanze kula mboga kwa wingi hasa karoti.Ale pia vyakula vya jamii ya kunde kama karanga na matunda kama avocado .Kama alikuwa hana tabia ya kufanya mazoezi aanze kufanya mazoezi angalau nusu saa kwa siku.Lastly anapokuwa na mwenzi wake aachane na mawazo mengine yote,afikirie tendo la ndoa tu. The problem could have a sychological dimension.Mawazo mengi yanaweza kumfanya mtu ashindwe kufanya tendo la ndoa!

Back
Top Bottom