Msaada wana jamvi

Johnkelly

Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
75
Reaction score
45
Week iliyopita nilikutana na tatizo LA kukohoa damu kama damu na cyo makohozi yenye damu week hii tena cku ya juma tano hali iyo imejirudia kwa muda mfupi tu kama 1dk. Naomba kujua tatizo hili linasababishwa na nn na dawa ni ipi???.....nawasilisha kwenu
 
Inawezekana ni infection kwenye mapafu inayo sababishwa na pneumonial, TB au bronchitis. Ni vizuri umuone daktari
 
Mkuu ukikaa na daktari uso kwa uso ndo anaweza kujua shida yako maana maelezo yako hayajitoshelezi,labda nikuulize umri wako,tatizo sugu la afya ulilonalo,je hivi karibuni umeugua,tatizo la kukohoa damu limeanzaje?
 
Cjawahi ugua wala kukohoa damu miaka 27 ila nakumbuka wakati Niko darasa LA saba mwaka 2004 nilitapika damu iliyoganda iliyopeleka me kuongezewa damu zaid ya hapo hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…