Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cjawahi ugua wala kukohoa damu miaka 27 ila nakumbuka wakati Niko darasa LA saba mwaka 2004 nilitapika damu iliyoganda iliyopeleka me kuongezewa damu zaid ya hapo hakunaMkuu ukikaa na daktari uso kwa uso ndo anaweza kujua shida yako maana maelezo yako hayajitoshelezi,labda nikuulize umri wako,tatizo sugu la afya ulilonalo,je hivi karibuni umeugua,tatizo la kukohoa damu limeanzaje?