NASEEB HASSAN
Member
- Oct 7, 2017
- 42
- 27
- Monegrammi nataka kutuma pesa China,msaada please!
Ok asante ndugu nitajaribu
Njia hii (World Remit) unapata pesa moja kwa moja ktk Tigo pesa au mpesa. Huduma inapatikana ulaya nadhani na Saudi Arabia pia inaweza kuwa inapatikana. Pls check website yao.
Hiyo hapo juu ni mimi nimetumiwa kutoka UK pesa kwa njia ya mpesa
Mkuu hakuna ata kazi ukuu aise tuje tutusuee mapene na sisi tuweze kutuma home.Naombeni kujuzwa ndungu wana jf kama kuna uwezekamo mtu wa saudi arabia kutuma hela mpesa tz au kama kuna njia nyingine nzuri ya kupokea hela kwenye kutoka saudi naombeni kujuzwa juu ya hilo