Msaada wana jf jüu ya kutumia pesa mpesa kutoka saudi arabia

Msaada wana jf jüu ya kutumia pesa mpesa kutoka saudi arabia

NASEEB HASSAN

Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
42
Reaction score
27
Naombeni kujuzwa ndungu wana jf kama kuna uwezekamo mtu wa saudi arabia kutuma hela mpesa tz au kama kuna njia nyingine nzuri ya kupokea hela kwenye kutoka saudi naombeni kujuzwa juu ya hilo
 
1cbcc3bfff3b5d4a12c2e95c01dff14b.jpg

Njia hii (World Remit) unapata pesa moja kwa moja ktk Tigo pesa au mpesa. Huduma inapatikana ulaya nadhani na Saudi Arabia pia inaweza kuwa inapatikana. Pls check website yao.
Hiyo hapo juu ni mimi nimetumiwa kutoka UK pesa kwa njia ya mpesa
 
Mtumaji aende ofisi za money gram atawapa pesa na kuandika namba yako kisha atakutumia moja kwa moja kwenye mpesa. Hakikisha sim card yako ina uwezo wa kupokea kiasi husika
 
Hivi swali kama hili kwann usipige simu kitengo cha huduma ya mteja au ukatembelea ofisi zao kwa maelezo sahihi na ya uhakika???

Ngoja watu wakufate pm wajifanye wanataka kukusaidia zaidi hlf ushindwe hata kulia.
 
1cbcc3bfff3b5d4a12c2e95c01dff14b.jpg

Njia hii (World Remit) unapata pesa moja kwa moja ktk Tigo pesa au mpesa. Huduma inapatikana ulaya nadhani na Saudi Arabia pia inaweza kuwa inapatikana. Pls check website yao.
Hiyo hapo juu ni mimi nimetumiwa kutoka UK pesa kwa njia ya mpesa
Ok asante ndugu nitajaribu
 
Naombeni kujuzwa ndungu wana jf kama kuna uwezekamo mtu wa saudi arabia kutuma hela mpesa tz au kama kuna njia nyingine nzuri ya kupokea hela kwenye kutoka saudi naombeni kujuzwa juu ya hilo
Mkuu hakuna ata kazi ukuu aise tuje tutusuee mapene na sisi tuweze kutuma home.
 
Back
Top Bottom