MKUTANI Member Joined Apr 1, 2012 Posts 7 Reaction score 0 Oct 8, 2012 #1 Naombeni msaada nilichaguliwa duce nimeenda duce jina halionekani wakaniambia niende udsm nimeenda nako jina halipo nimeenda tcu mpaka leo wanasema watatoa majina kwenye mtandao sasa hata sielewi nifanyaje.
Naombeni msaada nilichaguliwa duce nimeenda duce jina halionekani wakaniambia niende udsm nimeenda nako jina halipo nimeenda tcu mpaka leo wanasema watatoa majina kwenye mtandao sasa hata sielewi nifanyaje.