Msaada wana jf kwa sisi ambao majina hayapo kwenye vyuo tulivyochaguliwa na tcu tunafanyaje?

Msaada wana jf kwa sisi ambao majina hayapo kwenye vyuo tulivyochaguliwa na tcu tunafanyaje?

MKUTANI

Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
7
Reaction score
0
Naombeni msaada nilichaguliwa duce nimeenda duce jina halionekani wakaniambia niende udsm nimeenda nako jina halipo nimeenda tcu mpaka leo wanasema watatoa majina kwenye mtandao sasa hata sielewi nifanyaje.
 
Back
Top Bottom