Nahitaj kuachana na ndoto za engineering sio mchezo uko nina D ya phys,chem na mathe pia nina C ya bios na chet cha pre entry course in engineering pale DIT je ni chuo gan naweza kujiunga kwa wakat huu chenye fani nzur tofaut na izo za engineering kwa vgezo vyangu ivyo.