Msaada wana Jf nami nitoke.

Msaada wana Jf nami nitoke.

Mr pesa

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
79
Reaction score
7
Nahitaj kuachana na ndoto za engineering sio mchezo uko nina D ya phys,chem na mathe pia nina C ya bios na chet cha pre entry course in engineering pale DIT je ni chuo gan naweza kujiunga kwa wakat huu chenye fani nzur tofaut na izo za engineering kwa vgezo vyangu ivyo.
 
sina ndoto za kusoma education wadau.napend inshu za engneering,medical, na arthi,
 
KWEL KAKA LAKN ENGINEERING IPI IMESIMAMA KATIKA SOKO LA AJIRA NA KUJIAJIL MAANA NATAKA KWENDA mist,
mechanical engineering ipo sawa,pia civil engineering inalipa pia,na kuna chuo cha ardhi morogoro pale ukimaliza tu kazi kibao za kufanya
 
Back
Top Bottom