karibu sana education huku panakufaa
Komaa tu kk na hiyo koz iko poa tu
mechanical engineering ipo sawa,pia civil engineering inalipa pia,na kuna chuo cha ardhi morogoro pale ukimaliza tu kazi kibao za kufanyaKWEL KAKA LAKN ENGINEERING IPI IMESIMAMA KATIKA SOKO LA AJIRA NA KUJIAJIL MAANA NATAKA KWENDA mist,