Ni matumaini yangu kuwa afya zenu ni nzuri na mungu anaendelea kuwabariki. Mimi ni nimemaliza shahada ya biashara na uongozi, (bachelor of buriness administration). Shida yangu ni kupata nafasi ya kujitotlea kwenye taasis au kampuni yoyote inayoendana na masomo yangu ili nijenge uzoefu wa kazi. Kwa yeyote anaye weza kunisaidia naomba ani mp. Natangulliza shukrani zangu.