Msaada wana jf

Masafanja

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
9
Reaction score
2
Habari zenyu bana?
Natafuta chuo xofar c elewi ni wapi naweza kwenda kusomea kozi ya video productions and graphics!NAOMBENI MSAADA JAMANi!
 
Mkuu we unaonekana ni mwana ubongo fuleva! Habar zenyu ndio nini sasa? Pia umeandika kama tupo facebook na wakati unajua kuwa humu ni kwa magreat thinkers, pia hilo jina lako la Masafanja limekaa kihuni sana, unatka ukasomee hiyo kozi ili uwe unarekodi bongo movie na video za ubongo fleva ambazo zinaharibu maadili ya nchi yetu!

Enewei:
Mkuu wangu MSAfanja kuna chuo kipo Bagamoyo hapo kinahusika na mambo ya kozi unayotaka kusomea.
 
Last edited by a moderator:

Ukifikiri kwa makini huwez kutofautisha yup kijana na mzee kwa jinsi ubongo wa fleva unavyoharbu maadili yetu.
 
Last edited by a moderator:

Nashukuru ndugu ila mimi sio muhuni ilo jina masafanja ni masanja dat's already taken!
 
Last edited by a moderator:
jamani nsaidieni nataka kuapply chuo cha madin dodoma yeyote mwenye information anijuze jaman...!
 
jamani nsaidieni nataka kuapply chuo cha madin dodoma yeyote mwenye information anijuze jaman...!

Information gani unataka? Na je hili ni bandiko lingine au lilelile? Anzisha sred yako basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…