Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asanteb.ed unakuwa mwl wa masomo 2 pia unaweza kusomea k2 kngne wakat unataka kupga master ila bed unafundsha somo 1 alafu uwez kusomea k2 kngne wakat unapga master kiufup unakuwa mwl mpaka unakufa duu hii mbaya sana
Good morning madamkweli wewe unastahili kujiita sir?!
Bed,ni mwalimu wa somo mmoja,na mara nyingi hawa ni walimu wa vyuo,lakin ba,ni mwalimu wa masomo mawili,mara nyingi hawa ni walimu wa shule za kata,aisee,chagua kuwa mwalimu milele,lakini unafundisha chuo,na kuwa mwalimu ambaye unaweza kubadilisha fan,lakini unafundisha shule za kata.:kev:kipi bora?
Ualimu ni ualimu tu..oil sumu usimkatishe mwenzako tamaa..
Bed,ni mwalimu wa somo mmoja,na mara nyingi hawa ni walimu wa vyuo,lakin ba,ni mwalimu wa masomo mawili,mara nyingi hawa ni walimu wa shule za kata,aisee,chagua kuwa mwalimu milele,lakini unafundisha chuo,na kuwa mwalimu ambaye unaweza kubadilisha fan,lakini unafundisha shule za kata.:kev:kipi bora?
Kaz nzur n ualim
mkuu unaonekana unipend? Mm ndio oil sumu