Msaada wana JF

Msaada wana JF

sir imma

Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
75
Reaction score
7
Kuna tofauti gani kati ya facult ya Baed na Ba of education??Msaada wenu
 
b.ed unakuwa mwl wa masomo 2 pia unaweza kusomea k2 kngne wakat unataka kupga master ila bed unafundsha somo 1 alafu uwez kusomea k2 kngne wakat unapga master kiufup unakuwa mwl mpaka unakufa duu hii mbaya sana
 
Asante
 
Bed,ni mwalimu wa somo mmoja,na mara nyingi hawa ni walimu wa vyuo,lakin ba,ni mwalimu wa masomo mawili,mara nyingi hawa ni walimu wa shule za kata,aisee,chagua kuwa mwalimu milele,lakini unafundisha chuo,na kuwa mwalimu ambaye unaweza kubadilisha fan,lakini unafundisha shule za kata.:kev:kipi bora?
 
shule za kata uzalendo kwanza
 
wapo walimu waliosoma Bed na wapo shule za kata pia
 
Back
Top Bottom